1.Ofisi ya Taaluma inaomba wanafunzi wote wenye Procedure Books msijaze chochote mpaka wakati mtakaporudi chuoni.
2.Kwa wanafunzi ambao hawajamaliza mithani yao ya muhula wa kwanza, Mitihani hiyo itaendelea kuanzia tarehe 20-04-2020.
3.Wanafunzi wote wanaotegemewa kujiunga na Muhula wa pili, mnaombwa kuja na ada ya muhula wa pili wa masomo pindi mtakapo ripoti chuoni 20-04-2020.
4.Kwa wanafunzi wa March intake 2020/2021 masomo yataanza rasmi tarehe 20-04-2020.