HEALTH AND HOSPITALITY SERVICES AT KAM COLLEGE
Currently KAM College cooperate with KAM DAR ES SALAAM PHARMACY LTD which is a health provider company in all resources such as Health centers,Clinics,Laboratories and Pharmaceutical shops to provide Practical training and researches environment to students.
KAM DAR ES SALAAM PHARMACY COMPANY LTD BRANCHES
1. KAM Pharmacy, Dispensary & Laboratory – Mwananyamala ‘A’ Kinondoni Municipal DSM.
2. KAM Muhimbili Pharmacy – Muhimbili Bus Stand – Ilala Municipal DSM.
3. KAM Pharmacy – SayansiKijitonyama – Kinondoni Municipal DSM.
4. KAM Pharmacy – Sinza Makaburini – Kinondoni Municipal DSM.
5. KAM Dispensary & Laboratory – Amana (Near Amana Hospital) Ilala Municipal DSM.
6. KAM Pharmacy – Amana (opposite Amana Hospital) Ilala Municipal DSM
7. KAM Dispensary – Magomeni (Near Magomeni hospital) Kinondoni Municipal DSM.
8. KAM TOT Pharmacy – Mikocheni “A” (Garden Road – Kinondoni Municipal DSM).
It also cooperate with other health institution and in future it will cooperate with MUSIKA KAM HOSPITAL which is within KAM College main Campus.Ma
hi,
ningependa kujoin ktk chuo chenu,but cjui nitawapataje kwa hapo dar?.Nijibuni to my email.thanks
Tupo kimara Korogwe kabla hujafika kituo cha kimara mwisho.
When do the lesson starts for the year 2013
Semester starts on 16.09.2013,You may attend interview on 01.07.2013 come with certificates,35,000/= and 1 passport size.
why? your not available at temeke, all service are indicted to kinondoni and ilala.
Temeke also it is on our plan!
We’re a bunch of volunteers and starting a brand new scheme in our community. Your web site offered us with useful information to paintings on. You have done a formidable job and our whole neighborhood will be grateful to you.
With very much appreciation to your comments on KAM College!
Naipenda sana kam collage
Thank you!
when are you going to start nursing course
MIMI NAITWA BARTAZARY JOHN nataka kujiunga na diploma ambapo mwaka huu mwezi wa kumi namaliza certificate ya clinical officer chuo cha St.Aggrey health sciences sasa nataka kuja kuunganisha diploma hapo KAM JE MTATOA DIPLOMA
Ndio kuna diploma course
i want to know the qualification of join on your college? for certificate level and diploma…
thnks…!
samuel
Unatakiwa uwe na ufaulu angalau wa daraja(c) na kuendelea kwenye masomo ya biology na chemistry o-level.
1).When a new semister will start this year of 2014 and orrientation day?.2).What is a fees costs of Certificate as well as Diploma courses?.3).Is a hostel availlable in your college? and if so what is the cost.
Currently we’re doing registration.Total cost is 3000,000 Tshs for hostel and we have enough hostels. you’re welcome.
napenda kujiunga na chuo chenu kwa mwaka wa masomo 2014/2015 lakini nakuwa na wasiwasi je kimesajiliwa kweli niondoe wasiwasi
Ndio chuo kimesajiliwa na NACTE.
nahitaji kujiunga na chuo sijui nifanyeje
Njoo chuoni KAM COLLEGE kimara Dar Es Salaam ujiunge.karibu sana.
nataka kujua namba ya banki ya chuoni.
Bank Name: CRDB Bank-Vijana Baranch Dar es salaam
Account Number:01J1005525700
Account Name: Kam Medcare Pharmacy
Nilitaka kufahamu kama chuo kina hostel au ni za watu binafsi mtaani? kwenye fee structure hostel imeonyeshwa ni sh 500,000 kwa mwaka, zinalipwa chuoni au kwa wamiliki wa hostel, gharama yao kwa mwezi ni sh ngapi? inajumuisha miezi ya likizo?
Hosteli ni za chuo, tunazo hostel za kutosha kwa wanafunzi wote wanaojiunga na chuo chetu.karibu sana.
Nataka kujiunga na chuo cha kam college of health science kwa mwaka wa masomo 2014/2015 so naomba kujua nijinsi gani ya kujiunga na nimemaliza form four 2006 na form six 2009 bt nataka kutumia cheti cha form four na ada kwa ujumla ni shilingi ngapi per year . nijibu through ma email adress
Kwa mwanafunzi wa hostel atalipa sh 3,000,000 na mwanafunzi wa day ada ni sh 2,500,000.Ahsante karibu sana.
Naomba kujua gharama zenu zikoje nataka kumleta binti yangu katika kozi ya maabara certificate
Kwa wanafunzi wanaokaa hostel ni sh 3000000 na sh 2500000 kwa wanaokaa day school.karibu.
mwaka huu chuo kinaanza lini? pia gharama ngani kwa mwaka ktk clinical officers?
Usajili umeshaanza mwezi huu wa nane(8) na masomo yataanza mwezi wa tisa(9).karibu sana.
How much does it cost for 3 yrs diploma in clinical medicine and diploma in pharmacy courses.
thanks
Sabai
For hostel total cost is 3,000,000 Tsh (without meal) and 4,488,000 Tsh (with meal). For day scholer total cost is 2,500,000 Tsh. you’re welcome. Thanks
Habari, kwa mujibu wa chuo chenu, mnapokea wanafunzi wa certificate wenye D mbili za biology na chemistry na mengne kwa advantage. Pia baada ya applcation mna interview. Nina maswali matatu hapa, kuendana na vyuo vngne vya afya, mwanafunz anayeaply kama anavgezo vnavyohtajika na akapata nafas chuoni hua anaingia direct chuoni na kuanza mafunzo bila interview, je, kwa upande wenu,1> mwanafunzi akifel/akipata alama za chini ya kiwango mlchopanga, na ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo ila interview kashndwa, je mtamruhusu kuendelea na mafunzo ktk mafunzo anayotaka kusomea? 2>mwaka huu mwsho wa kupoke aplication ni lini na gharama zake ni shlng ngapi?
Fika chuoni kwa maelezo zaidi,gharama za application ni sh 50000. karibu
Kama nina chet cha nurse asisstance nataka kujiunga na midical laboratory kwa ngazi ya diploma inawezekana
unatakiwa uwe na ufaulu wa kuanzia daraja (c) kwa masomo ya biology na chemistry kwa o-level. karibu.
mimi nina pass za chemisty c na biology d je naweza kujiunga na course ya medical labolatory ngaz ya diploma mwaka huu?
Ndio karibu sana
mimi niko tayari kujinga na chuo chenu lakini ninaweza kuanza tar 15/o9/2014 kwani nasubiria fees,je inawezekana
Nijins gan naweza kuja kuendelea na mwaka mmoja wa CO hapo chuon maan nna kozi ya CA?Na je mazoez ya wodin yanafanyikia wap?
Kama umeajiriwa na serikali kuna ugumu,kama ni private candidate unakaribishwa.Government application znapelekwa kanda. Mengine soma kwenye mtandao wetu
Tarehe ya mwisho kurejesha fomu ni Lin?
Fika chuoni usajili umeshaanza na masomo yataanza mapema mwezi wa tisa (9).
mi nilihitimu kidato cha nne muda mrefu 2007naweza kupata nafasi ya masomo hapo kwenu
Unatakiwa uwe na ufaulu kuanzia daraja(c) kwa masomo ya BIOLOGY na CHEMISTRY.Karibu sana.
do you offer any short courses
Yes!We offer short courses like;
1:Pharmaceutical Dispensing,
2:Laboratory Attendant.
you welcome to join.Thanks
Namshukuru Mungu mdogo wangu kachaguliwa kujiunga na masomo hapo, Ordinary Diploma in Clinical Medicine. Napenda kufahamu mambo machache yafuatayo,
Vitu gani vya msingi anatakiwa kuja navyo mbali na ada na michango ya chuo, na pia katika mchanganuo wa tution fee 3,000,000 uniform is also inclusive? na hizo uniform anazipata wapi chuoni ama ananunua kwa gharama yake? Many thanks
Uniform haipo inclusive kwenye ada na anatakiwa kuja na uniform.
mahitaji ni;
1. For clinical medicine course: long sleeves clinical coats,sphygmomanometer,patella hummer,stethoscope,tape measure,penlight.
2. For medical laboratory course:long sleeves laboratory coats.
Ko Kwa Mwanafunzi Amby Htkuw Anakula Hapo Je Anaruhsiwa Kuish Bweni Au Hapn Naomb Unjb Ku2mia Email Yngu Please
Ndiyo unaruhusiwa. karibu ujiunge.
Mdogo angu kamaliza form six mwaka huu PCB na ana P =E , C=C, B= D je atakubaliwa kujiunga chuon kwenu? Na mwisho ln kuomba?
Usajili unafanyika mwezi huu wa nane(8) na masomo yataanza mwezi wa tisa(9).Ili kujiunga anatakiwa kua na ufaulu wa kuanzia alama(c)katika masomo ya biology na chemistry o-level.karibu
habari kalm college??
mimi nilikuwa nataka kujiunga chuo kwa ngazi ya diploma (clinical medicine) na grade zangu ni kama zifuatazo >physics-D..biology-C..chemistry-C je inawezekana??
Ufaulu wako ni mzuri unaweza kujiunga karibu sana.
MIMI NINA DIPLOMA YOCUPATIONAL THERAPY, JE, WEZA KUJIUNGA NA COURSE YA DIPLOMA IN CLINICAEDICINE KAMA MATURE AGE ENTRY APPLICANT? NAFANYA KAZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI. NINA UZOEU WA KAZI MIAKA MITANO.
ASANTENI. NAOMBA MNIJIBU KWA E-MAIL
Unatakiwa kua na ufaulu wa masomo ya biology na chemistry au fika chuoni kimara korogwe kwa maelezo zaidi. karibu.
Masomo kwa mwaka huu yanaanza lini? nipo interested na kujiunga kam college of health science.na utaratibu unakuwaje kuhusu hostel
Mwezi huu wa nane(8) tunafanya usajili, masomo yataanza mwanzoni mwezi wa (9)
Praticalz mnafanyia wap?hospital gani?
practicals zinafanyika katika hosptali nyingi sana ikiwemo mwananyamala,sinza,temeke n.k. Karibu sana.
Hosptali nyingi sana ikiwemo mwananyasmala, sinza ,temeke nk
Nina D Tatu Za Physics,chemistry, And Mathematics Na Biology Na E Je Naweza Ujiunga Na Chuo Chenu
ILI KUJIUNGA NA MASOMO YA AFYA UNATAKIWA KUA NA UFAULU KATIKA CHEMISTRY NA BIOLOGY KIWANGO CHA (D) AHSANTE.
LINI MASOMO YANAANZA HAPO KAM YA MWAKA HUU MAANA MMEWAHI KUFUNGUA HATA ADA HATUNA NITUMIENI UJUMBE 0712740975 EMAIL INA MATATIZO
USAJILI(registration) INAFANYIKA MWEZI HUU WA NANE(8), MASOMO YATAANZA MAPEMA SANA MWANZONI WA MWEZI WA TISA(9) KARIBU SANA.
usajili unafanyika kuanzia saivi na masomo yataanza mapema. Wahi mapema.
chuo chenu ni kizur sana na nimekpenda. sasa ada yake ni sh.ngap?
Kama utakaa hostel ada ni sh 3000000, na ada ya day sh 2500000.Unakaribishwa sana kujiunga
Serikali Inatoa Ajira Kwa Wahitim Wa Chuo Chenu?
Ndio wahitumu wanapewa ajira kutoka serikalini.karibu sana
TUNAJIUNGAJE
Fika chuoni kimara Dar Es Salaam ukiwa vyeti vyenye matokeo kwa ufaulu wa daraja (c) kwa o level.Ahasante
Ada ni sh 3000000 kwa hostel na sh 2500000 kwa wanafunzi wa day.
Habari.Nimechaguliwa kujiunga na KAM College ila sijafahamu kuhusu joining Instrucction kama zinatolewa hapo na masomo yanaanza lini. Hongera kwa quick respond
Unaweza kufika chuoni KAM COLLEGE kimara korogwe na ukapata form au unaweza download application form ina maelezo yote ya jinsi ya ku-join na chuo. Fungua website ya chuo shuka chini utaona link inaitwa (DOWNLOAD APPLICATION FORM). Usajili unafanyika saiv na masomo yataanza mapema mwezi wa tisa(9) wahi mapema. karibu sana.
Unaweza ku-download application form kwenye website ya chuo utakuta maelezo yote ya jinsi ya ku-join na chuo, angalia link ya ku-download inaitwa(DOWNLOAD APPLICATION FORM)..Pia unaweza fika chuoni kimara korogwe Dar Es Salaam. Usajili umeanza na masomo yataanza mwanzoni mwezi wa tisa(9).kaibu sana
how does the meal for whole goes means morng/aftrno/eveng
Total cost with meal 4,488,000 Tshs.Thanks, you’re welcome.
Nina ufaulu wa D mbili biology na physics je naweza kujiunga?
Unaweza kufika chuoni kwa maelekezo zaidi. karibu
Nauliza hivi kam mnatoa na degree??
Kwa sasa bado hatujaaanza kutoa degree.
Afu pia nauliza kma umechaguliwa chuo cha serikali na unataka uamie hapo inakuwaje??
Omba barua ya uhamisho chuoni kwako inayo onyesha chuo unachotaka kuhamia afu ipeleke hyo barua wizara ya afya.Ahsante
Hivi chuo kipo kinondon au kimara??
Chuo kipo kimara korogwe wilaya ya kinondoni mkoa wa Dae Es Salaam..
Kam mnatoa degree hapo?
Hatujaanza kutoa degree.
Nimekipnd sana chuo chenu ila ambacho cjakielewa iyo 3,000,000 n kwa miaka miwil au mmoja
kwa mwaka mmoja(two semesters).karibu
m nina d ya biology na d tano za masomo mengine yasiyo ya sayansi je ninaweza kujiunga na kozi gan hapo kwenu asanteni
Yeyote utakayopenda unaweza kusoma,angalia kwenye website zimeorodheshwa.
Je,unaweza kusoma Clinical Medicine in Certificate.ukiwa na Biology_C,chemistry_D,mathematics_D bla physics?
Ndio! karibu
Naomba kuuliza…
Masomo yanaanza lini kwa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo wa 2016/2017?
Na je, waliokuwa selected baada ya kufanya application zao, je mnawapaje taarifa kuwa tayari umechaguliwa kujiunga KAM?
tarehe 01/10/2016…………. Karibu sana