HEALTH AND HOSPITALITY SERVICES AT KAM COLLEGE

HEALTH SERVICESCurrently KAM College cooperate with KAM DAR ES SALAAM PHARMACY LTD which is a health provider company in all resources such as Health centers,Clinics,Laboratories and Pharmaceutical shops to provide Practical training and researches environment to students.

20130316_085908

KAM DAR ES SALAAM PHARMACY COMPANY LTD BRANCHES

1. KAM Pharmacy, Dispensary & Laboratory – Mwananyamala ‘A’ Kinondoni Municipal DSM.
2. KAM Muhimbili Pharmacy – Muhimbili Bus Stand – Ilala Municipal DSM.
3. KAM Pharmacy – SayansiKijitonyama – Kinondoni Municipal DSM.
4. KAM Pharmacy – Sinza Makaburini – Kinondoni Municipal DSM.
5. KAM Dispensary & Laboratory – Amana (Near Amana Hospital) Ilala Municipal DSM.
6. KAM Pharmacy – Amana (opposite Amana Hospital) Ilala Municipal DSM
7. KAM Dispensary – Magomeni (Near Magomeni hospital) Kinondoni Municipal DSM.
8. KAM TOT Pharmacy – Mikocheni “A” (Garden Road – Kinondoni Municipal DSM).

SERVICE

It also cooperate with other health institution and in future it will cooperate with MUSIKA KAM HOSPITAL which is within KAM College main Campus.Ma

60

 

98 Responses to HEALTH AND HOSPITALITY SERVICES AT KAM COLLEGE

 1. gabriel zacharia says:

  hi,
  ningependa kujoin ktk chuo chenu,but cjui nitawapataje kwa hapo dar?.Nijibuni to my email.thanks

 2. Richard says:

  When do the lesson starts for the year 2013

  • Kamcollege says:

   Semester starts on 16.09.2013,You may attend interview on 01.07.2013 come with certificates,35,000/= and 1 passport size.

 3. cosmas magayane says:

  why? your not available at temeke, all service are indicted to kinondoni and ilala.

 4. We’re a bunch of volunteers and starting a brand new scheme in our community. Your web site offered us with useful information to paintings on. You have done a formidable job and our whole neighborhood will be grateful to you.

 5. Boniface luanda says:

  Naipenda sana kam collage

 6. ABDALLA HASSAN says:

  when are you going to start nursing course

 7. Bartazary says:

  MIMI NAITWA BARTAZARY JOHN nataka kujiunga na diploma ambapo mwaka huu mwezi wa kumi namaliza certificate ya clinical officer chuo cha St.Aggrey health sciences sasa nataka kuja kuunganisha diploma hapo KAM JE MTATOA DIPLOMA

 8. samuel says:

  i want to know the qualification of join on your college? for certificate level and diploma…

  thnks…!
  samuel

 9. 1).When a new semister will start this year of 2014 and orrientation day?.2).What is a fees costs of Certificate as well as Diploma courses?.3).Is a hostel availlable in your college? and if so what is the cost.

  • Kamcollege says:

   Currently we’re doing registration.Total cost is 3000,000 Tshs for hostel and we have enough hostels. you’re welcome.

 10. hemed Jean says:

  napenda kujiunga na chuo chenu kwa mwaka wa masomo 2014/2015 lakini nakuwa na wasiwasi je kimesajiliwa kweli niondoe wasiwasi

 11. Thomas Musa says:

  nahitaji kujiunga na chuo sijui nifanyeje

 12. ibrahm makoye says:

  nataka kujua namba ya banki ya chuoni.

  • Kamcollege says:

   Bank Name: CRDB Bank-Vijana Baranch Dar es salaam
   Account Number:01J1005525700
   Account Name: Kam Medcare Pharmacy

 13. Mary Malunde Watugulu says:

  Nilitaka kufahamu kama chuo kina hostel au ni za watu binafsi mtaani? kwenye fee structure hostel imeonyeshwa ni sh 500,000 kwa mwaka, zinalipwa chuoni au kwa wamiliki wa hostel, gharama yao kwa mwezi ni sh ngapi? inajumuisha miezi ya likizo?

 14. KHALEELY IJUMAA says:

  Nataka kujiunga na chuo cha kam college of health science kwa mwaka wa masomo 2014/2015 so naomba kujua nijinsi gani ya kujiunga na nimemaliza form four 2006 na form six 2009 bt nataka kutumia cheti cha form four na ada kwa ujumla ni shilingi ngapi per year . nijibu through ma email adress

 15. shija lukundula says:

  Naomba kujua gharama zenu zikoje nataka kumleta binti yangu katika kozi ya maabara certificate

 16. Fanuel Mfuruki says:

  mwaka huu chuo kinaanza lini? pia gharama ngani kwa mwaka ktk clinical officers?

 17. JOSHUA SABAI says:

  How much does it cost for 3 yrs diploma in clinical medicine and diploma in pharmacy courses.
  thanks
  Sabai

  • Kamcollege says:

   For hostel total cost is 3,000,000 Tsh (without meal) and 4,488,000 Tsh (with meal). For day scholer total cost is 2,500,000 Tsh. you’re welcome. Thanks

 18. Albert Temba says:

  Habari, kwa mujibu wa chuo chenu, mnapokea wanafunzi wa certificate wenye D mbili za biology na chemistry na mengne kwa advantage. Pia baada ya applcation mna interview. Nina maswali matatu hapa, kuendana na vyuo vngne vya afya, mwanafunz anayeaply kama anavgezo vnavyohtajika na akapata nafas chuoni hua anaingia direct chuoni na kuanza mafunzo bila interview, je, kwa upande wenu,1> mwanafunzi akifel/akipata alama za chini ya kiwango mlchopanga, na ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo ila interview kashndwa, je mtamruhusu kuendelea na mafunzo ktk mafunzo anayotaka kusomea? 2>mwaka huu mwsho wa kupoke aplication ni lini na gharama zake ni shlng ngapi?

 19. judy swai says:

  Kama nina chet cha nurse asisstance nataka kujiunga na midical laboratory kwa ngazi ya diploma inawezekana

 20. Abilary moyogumu says:

  Nijins gan naweza kuja kuendelea na mwaka mmoja wa CO hapo chuon maan nna kozi ya CA?Na je mazoez ya wodin yanafanyikia wap?

 21. omarymustafa says:

  mi nilihitimu kidato cha nne muda mrefu 2007naweza kupata nafasi ya masomo hapo kwenu

 22. SELESTINO NACHENGA says:

  do you offer any short courses

  • Kamcollege says:

   Yes!We offer short courses like;
   1:Pharmaceutical Dispensing,
   2:Laboratory Attendant.
   you welcome to join.Thanks

 23. MARY BUKOMBE says:

  Namshukuru Mungu mdogo wangu kachaguliwa kujiunga na masomo hapo, Ordinary Diploma in Clinical Medicine. Napenda kufahamu mambo machache yafuatayo,
  Vitu gani vya msingi anatakiwa kuja navyo mbali na ada na michango ya chuo, na pia katika mchanganuo wa tution fee 3,000,000 uniform is also inclusive? na hizo uniform anazipata wapi chuoni ama ananunua kwa gharama yake? Many thanks

  • Kamcollege says:

   Uniform haipo inclusive kwenye ada na anatakiwa kuja na uniform.
   mahitaji ni;
   1. For clinical medicine course: long sleeves clinical coats,sphygmomanometer,patella hummer,stethoscope,tape measure,penlight.
   2. For medical laboratory course:long sleeves laboratory coats.

 24. Salum says:

  Ko Kwa Mwanafunzi Amby Htkuw Anakula Hapo Je Anaruhsiwa Kuish Bweni Au Hapn Naomb Unjb Ku2mia Email Yngu Please

 25. godwin says:

  Mdogo angu kamaliza form six mwaka huu PCB na ana P =E , C=C, B= D je atakubaliwa kujiunga chuon kwenu? Na mwisho ln kuomba?

  • Kamcollege says:

   Usajili unafanyika mwezi huu wa nane(8) na masomo yataanza mwezi wa tisa(9).Ili kujiunga anatakiwa kua na ufaulu wa kuanzia alama(c)katika masomo ya biology na chemistry o-level.karibu

 26. abubakar kalli says:

  habari kalm college??
  mimi nilikuwa nataka kujiunga chuo kwa ngazi ya diploma (clinical medicine) na grade zangu ni kama zifuatazo >physics-D..biology-C..chemistry-C je inawezekana??

 27. DAWSON MUNTARA says:

  MIMI NINA DIPLOMA YOCUPATIONAL THERAPY, JE, WEZA KUJIUNGA NA COURSE YA DIPLOMA IN CLINICAEDICINE KAMA MATURE AGE ENTRY APPLICANT? NAFANYA KAZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI. NINA UZOEU WA KAZI MIAKA MITANO.
  ASANTENI. NAOMBA MNIJIBU KWA E-MAIL

  • Kamcollege says:

   Unatakiwa kua na ufaulu wa masomo ya biology na chemistry au fika chuoni kimara korogwe kwa maelezo zaidi. karibu.

 28. ELIUD GEOFREY says:

  Masomo kwa mwaka huu yanaanza lini? nipo interested na kujiunga kam college of health science.na utaratibu unakuwaje kuhusu hostel

 29. victoria says:

  Praticalz mnafanyia wap?hospital gani?

 30. Nina D Tatu Za Physics,chemistry, And Mathematics Na Biology Na E Je Naweza Ujiunga Na Chuo Chenu

 31. DAMIAN PETER says:

  LINI MASOMO YANAANZA HAPO KAM YA MWAKA HUU MAANA MMEWAHI KUFUNGUA HATA ADA HATUNA NITUMIENI UJUMBE 0712740975 EMAIL INA MATATIZO

  • Kamcollege says:

   USAJILI(registration) INAFANYIKA MWEZI HUU WA NANE(8), MASOMO YATAANZA MAPEMA SANA MWANZONI WA MWEZI WA TISA(9) KARIBU SANA.

 32. Kamcollege says:

  usajili unafanyika kuanzia saivi na masomo yataanza mapema. Wahi mapema.

 33. juma shaaban says:

  chuo chenu ni kizur sana na nimekpenda. sasa ada yake ni sh.ngap?

 34. ENOFAS NAMBARI says:

  Serikali Inatoa Ajira Kwa Wahitim Wa Chuo Chenu?

 35. Eliabu Sanga says:

  TUNAJIUNGAJE

  • Kamcollege says:

   Fika chuoni kimara Dar Es Salaam ukiwa vyeti vyenye matokeo kwa ufaulu wa daraja (c) kwa o level.Ahasante

 36. Kamcollege says:

  Ada ni sh 3000000 kwa hostel na sh 2500000 kwa wanafunzi wa day.

 37. HAMISI HASSANI says:

  Habari.Nimechaguliwa kujiunga na KAM College ila sijafahamu kuhusu joining Instrucction kama zinatolewa hapo na masomo yanaanza lini. Hongera kwa quick respond

  • Kamcollege says:

   Unaweza kufika chuoni KAM COLLEGE kimara korogwe na ukapata form au unaweza download application form ina maelezo yote ya jinsi ya ku-join na chuo. Fungua website ya chuo shuka chini utaona link inaitwa (DOWNLOAD APPLICATION FORM). Usajili unafanyika saiv na masomo yataanza mapema mwezi wa tisa(9) wahi mapema. karibu sana.

  • Kamcollege says:

   Unaweza ku-download application form kwenye website ya chuo utakuta maelezo yote ya jinsi ya ku-join na chuo, angalia link ya ku-download inaitwa(DOWNLOAD APPLICATION FORM)..Pia unaweza fika chuoni kimara korogwe Dar Es Salaam. Usajili umeanza na masomo yataanza mwanzoni mwezi wa tisa(9).kaibu sana

 38. alvin says:

  how does the meal for whole goes means morng/aftrno/eveng

 39. Nina ufaulu wa D mbili biology na physics je naweza kujiunga?

 40. tressy says:

  Nauliza hivi kam mnatoa na degree??

 41. tressy says:

  Afu pia nauliza kma umechaguliwa chuo cha serikali na unataka uamie hapo inakuwaje??

  • Kamcollege says:

   Omba barua ya uhamisho chuoni kwako inayo onyesha chuo unachotaka kuhamia afu ipeleke hyo barua wizara ya afya.Ahsante

 42. rose says:

  Hivi chuo kipo kinondon au kimara??

 43. tressy says:

  Kam mnatoa degree hapo?

 44. Kamcollege says:

  Nimekipnd sana chuo chenu ila ambacho cjakielewa iyo 3,000,000 n kwa miaka miwil au mmoja

 45. Hamzah says:

  Je,unaweza kusoma Clinical Medicine in Certificate.ukiwa na Biology_C,chemistry_D,mathematics_D bla physics?

 46. Naomba kuuliza…
  Masomo yanaanza lini kwa wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo wa 2016/2017?

  Na je, waliokuwa selected baada ya kufanya application zao, je mnawapaje taarifa kuwa tayari umechaguliwa kujiunga KAM?

Leave a Reply to Kamcollege Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>