LATEST AND NEW ANNOUNCEMENTS IN THE COLLEGE

kam3

ANNOUNCEMENT FOR AUGUST 2017 SUPPLIMENTARY EXAMINATIONSnewcon
ALL STUDENTS WHO ARE EXPECTING TO SIT FOR SUPPLIMENTARY EXAMINATIONS ON AUGUST 2017 ARE ASKED TO PAY TSH. 370,000/= FOR SUPPLIMENTARY FEES AS QUICKLY AS POSSIBLE IN ORDER TO AVOID OTHER INCONVENIENCES.HOWEVER;ALL PAY-IN SLIPS SHOULD BE SUBMITTED TO THE REGISTRAR’S OFFICE.
  • NB: IN CASE THE MINISTRY OF HEALTH DOES NOT PAY THE INVIGILATORS FOR SUPPLIMENTARY EXAMINATIONS STUDENTS WILL BE EXPECTED TO PAY A FULL AMOUNT OF TSH. 600,000/=.
TANGAZO  LA PUNGUZO LA ADA ( 20%)
WANAFUNZI WOTE WA NTA LEVEL 4 NA NTA LEVEL 5 MLIOANDIKIWA DISCO KATIKA MTIHANI WA WIZARA MWAKA 2016/2017 NA KUPEWA KURUDIA SEMESTER YA PILI.
MNATAARIFIWA KUPUNGUZIWA ADA KUTOKA TSH. 1,500,000/= HADI TSH. 1,200,000/= KWA MUHULA HUU TU.
MNATAKIWA KULIPA NA KUJISAJILI KWA AJILI YA KUENDELEA NA SEMESTER YA PILI.
TANGAZO LILILOBANDIKWA WIZARANI KWENYE OFISI ZA WIZARA YA AFYA LINASEMA:
TARATIBU ZINAZOTAKIWA KUZINGATIWA NA WANAFUNZI WA VYUO VYA  AFYA WANAOTAKA KUHAMA KUTOKA CHUO KIMOJA KWENDA KINGINE
1.Mwanafunzi awe amefaulu masomo yake yote yanayotakiwa kusomwa wakati wa mihulaaliyokwishaimaliza
2.Mwanafunzi hatakiwi kuomba kuhama akiwa katikati ya muhula.Uhamisho kwa wenye sifa za kuhama utatolewa kwa ajili ya kwenda kuanza muhula na siyo kwenda kuendelea na muhula unaokwenda kwisha.
3.Mwanafunzi asiwe na deni lolote chuoni anakotoka.
4.Mwanafunzi anayerudia muhula kwa sababu za kitaaluma haruhusiwi kuomba uhamisho mpaka atakapokuwa amefaulu vyema masomo yote ya muhula anaorudia.
NYARAKA ZINAZOTAKIWA KUWASILISHWA NA MWANAFUNZI ALIYEKO KATIKA CHUO CHA AFYA ANAYEOMBA UHAMISHO KWENDA CHUO KINGINE
1.Mwombaji awasilishe barua ya maombi ya uhamisho yenye ridhaa
  • Kutoka chuo alichopo
  • Kutoka chuo anachotaka kuhamia
2.Awasilishe matokeo ya maendeleo ya kitaaluma yanayoonyesha ufaulu wa masomo kwa mihula yote aliyofuzu
3.Mwombaji anaweza kuombwa kuwasilisha nyaraka zaidi iwapo itaonekana kwa kuzingatia sababu zilizowasilishwainahitajika vielelezozaidi viwasilishwe ili wizara ivitumie kujiridhisha na kutoa uamuzi.
                         IDARA YA MAFUNZO

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>