-
ANNOUNCEMENT
-
ALL STUDENTS WHO DIDN'T ATTEND THEIR CAT I EXAMS SHOULD GO TO THE OFFICE OF DEAN OF STUDENTS BEFORE 14/01/2018.
-
-
ANNOUNCEMENT
-
WANAFUNZI WOTE WA PHARMACEUTICAL SCIENCE WENYE SUPLLEMENTARY, WANATAARIFIWA KUFIKA CHUONI TAR 10/10/2017 KWA AJILI YA KUPEWA UTARATIBU WA UFANYAJI MTIHANI HUO AMBAO UTAFANYIKA CHUO CHA ST PETER SIKU YA ALHAMISI NA IJUMAA. KAMA KAWAIDA YA ULIPAJI WA MITIHANI YA SUPPLEMENTARY ULIVYO MNATAKIWA KULIPIA KIASI CHA SH 300,000/= .TAFADHALI ZINGATIA NA TEKELEZA. UTAWALA MKURUGENZI
-
-
COURSE WORK & RESULTS
AVAILABLE PAGES
- KAM COLLEGE :OUR CONTACTS INFORMATIONS ADDRESSES
- KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCES (KCHS) LIBRARY
- NEW STUDENTS ADMISSION PROCEDURES AT KAM COLLEGE
- ABOUT US
- ACADEMIC PROGRAMS CURRENTLY OFFERED AT KAM COLLEGE
- Comments
- COURSES TIME TABLES AT KAM COLLEGE IN 2017/2018
- EXAMINATIONS AND TESTS REGULATIONS AT KAM COLLEGE
- FEES STRUCTURES AND MODE OF PAYMENTS AT KCHS
- HEALTH AND HOSPITALITY SERVICES AT KAM COLLEGE
- HOSTELS, HOSPITALITY , CAFETERIA AND SHOPPING CENTRES.
- LATEST AND NEW ANNOUNCEMENTS IN THE COLLEGE
- QUICK LINKS IN KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCES WEBSITE
- STUDENT JOINING FORM FOR 2018/2019 ACADEMIC YEAR
- TOURS,EVENTS,SPORTS,GAMES AND ENTERTAINMENTS AT KCHS
-
Facebook
-
NOTE FOR MARCH INTAKE 2017/2018
- KAM College of Health Science thanks for your decision of choosing and joining this college in this 2017/2018 academic year.We expect you will quickly do registration and settle in the college environment to start serious studying for your academic carrier.We wishes you all the best as we ensure to provide you high quality training and research environment that will make you the best in Health Sciences Professional.We also expect you to follow all the rules and regulations as directed by the college.
NEW INTAKE SEPTEMBER 2017/2018
Kam College of Health Sciences (KCHS),Registration Number REG /HAS/104 registered and Recognized by BOTH The National Council for Technical Education (NACTE) and Ministry of Health,Community Development,Gender,Elderly and Children invites all students Holders of Certificate of Secondary Education ( CSEE ) or with equivalent entry to apply for the New academic year 2017/2018.We invites application in Diploma and Certificate in Clinical Medicine,Diploma and Certificate in Nursing,Diploma and Certificate in Pharmaceutical Sciences, and Diploma and Certificate in Medical Laboratory . We also invites application in PROGRAMMES or FOUNDATION COURSES NTA LEVEL 4 in Pharmaceutical Dispensing/Sciences,Basic Technician Certificate in Community Health,Health Attendant,and Laboratory Attendant. You can obtain the Joining form by downloading from the College WEBSITE or through direct contact by visiting Kam College at KIMARA KOROGWE (RESORT BUS STATION)
Hongera Dr,
I always appriciate on what you do.
May GOD bless you.
0715 650 991
Thank you for your opinion,God bless you!
samahan so it means mwenz wa saba nakuja na form na kuanza chuo
Ndio usajili umeanza mwezi huu wa nane(8).Na masomo yataanza mwezi ujao.
i really need 2 come n study in ur college i hope i wil have the chance
Attend interview on 01.07.2013 come with your certificates,35,000/= and 1 passport size picture!
hi,nataka nitume application form hapo kam lakini nipo tabora je nita tuma vipi iweze kuwafikia naomba msaada wenu,pia mnitajie fee structure per year for the hostel student kwa course ya clinical medicine diploma
Fika kwenye interview tarehe 01.07.2013,uje na vyeti,Tsh 35,000/= na picha moja ya passpot. Maelezo mengine utapata kwenye interview! Karibu!
Mtoto wangu kapata (E) chemistry, (E) phisics na D ya biology…… Je mnaweza kumpokea kwa courz za clinical na laboratory???
Njoo chuoni ili kupata maelezo zaid jins ya kujiunga.
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013 . na nina C-1 na D-4 je naruhusiwa.
karibu ujiunge, unaweza kufika chuoni KAM COLLEGE Dar Es Salaam au unatuma maombi kupitia wizara ya afya.Ahsante
NAM NATAKA KUJUA KWA MAELEZO ZAID. VP HIVYO VIO VIMESAJILIWA NA NACTE AU.
(0715647188)
Chuo kimesajiliwa na NACTE.karibu
Ada zenu ni kiasi gani Kwa wanafunzi wa phamacy
Ada ya chuo ni sh 3,000,000 kwa hostel na sh 2,500,000 kwa wanafunzi wa day.Karibu sana.
Naomba unijulishe ada ya kam college in medical laboratory certificate
Ada ni sh 3000000 kwa hostel.Na day ada ni sh 2500000.karibu
I am at st Peter college of health science am finishing ma certificate of medical dispensing on September can I apply for certificate of pharmacy in your college after that
You are welcome to join.Thanks
Mpo juu
Asante kwa comment yako
Je naweza kujiunga na diploma wakati huo hua naendelea ku reseat kutafuta credit ya biology na chemisty. mimi nimehitimu HKL na kupata Division 2
PLEASE
MAJIBU
Unapaswa kua ufaulu katika masomo ya biology na chemistry angalau daraja(c).karibu.
Naomba kujua tarehe ya mwisho ya kuleta maombi , Nataka kuja kuomba na Nataka kujua kama naweza kutuma kwa njia ya posta mana mie Niko zanzibar
Fanya mapema hata saiv kwani masomo yataanza mwezi wa tisa
mi naomba kuulza je chuo chenu kinatambuliwa na nacte na kimesajiliwa.patrick toka tabora ulyankulu
Ndio chuo kimesajiliwa na NACTE.
I have the following scores
O’level
Math C
Phy D
Chem B
Biol D
A’level
Chem D
Biol S
Geog D…….Do I qualify to join KAM as a CO student? Isn’t too late to apply?….NACTE seems not to consider A’level attainment,b’se I had applied through CAS. In the first place,but before they extended the deadline of application to 13 July,I was told NOT ELIGIBLE despite the guideline stating “at least having E in Chem or Biol in A’level.
yes you can join,and for more information just visit at the college.
nauliza kwamba chuokina funguliwa na ccwengine badotunasubiri second selection?nakwa upande wa diploma naruhucwa kubadilisha kozi hiwaponitachaguliwa hapochuoni kwenu?
Fika chuoni usajili umeshaanza.Karibu sana
You have already start offer diploma in medical laboratory for one year for those having certificate NTA LEVEL 4
Ndiyo ipo karibu ujiunge.
i apreciate kam college ,nita join nanyi mwakani 2015 ila hiyo ada inalipwa kwa installement ngapi?
Unaweza kulipa mara(2) kila mwanzoni mwa semister. Karibu sana
TUNAANZA LINI
karibu ujiunge. Saiv tunafanya usajili na masomo yataanza mwezi ujao mapema (MWEZI WA 9).
Njoo chuoni usajili unafanyika saiv na masomo yataanza mapema.
MNA TAWI LINGINE OUT OF DAR KAMA NDIO NI MIKOA GANI?
Hatuna tawi mkoani.
why joining form does not exit , becouse I have downloaded but didn’t be opened
Try to look it inside careful then you’ll find all instructions OR for more information visit at KAM COLLEGE kimara Dar Es Salaam.Thanks.
naomba kujua selection zinatoka lini na masomo yanaanza lini??
Tumeshaanza kufanya usajili na masomo yaataanza mapema mwezi wa tisa(9) fika chuoni KAM COLLEGE kimara Dar Es Salaam.karibu sana
sawa ila samahan nauliza taratibu za vipind kila kozi,ni kila siku kipind au inategemea na kozi,na je co ratiba ipo vp,kwa wale wanaotegemea biashara zao kulipa ada
samahan katika mpangilio wa vpind je nikila siku au inategemea na koz.na je kozi ya CO vpind vipo vip? kwa wale wanaojilipia wenyewe kutokana na biashara zao
Hi. nafasi za m/laboratory NTA4 bado zipo, na ninaruhusiwa kufanya application mwez huu?
Naruhusiwa kuapply m/laboratory NTA 4 kwa qualification za D biology na somo linginelo
nimeapply clinical medicine hapo and nimepata txt frm nacte that nmechaguliwa…. But then the confirmation iko pending wen are you confirming t and nasubiria joining instructions… coz ata Cjui semester inaanza lini… please help me ili nijiandae mapema
fika apa chuoni kwa maelezo ya kina zaidi
Nataka download join form haifai
ingia http://www.kamcollegeofhealthscience.co.tz utaona hiyo fomu ya kujiunga
Chemistry D Biology C Physics C naweza jiunga na Diploma in clinical officer?
yah unaweza jiunga…. karibu sana
Ok maana kuna MTU alinipa was wasi aliponoliambia masomo mawili yaani biology na chemistry ni fixed lazma upate c c na phz d
nna d tatu ikiwemo ya bios naweza kupata course gani hapo Kam colleg?????????
community health lakin kwa maelezo zaidi ni vema ukafika mwenyewe apa chuoni…. Karibu sana