Comments

We invite visitors to write your comments here on things or service you want us to improve so that we can offer you a better service!

Feel free! You are welcome!

58 Responses to Comments

 1. Kattende Boniphace says:

  Hongera Dr,
  I always appriciate on what you do.
  May GOD bless you.
  0715 650 991

 2. damas says:

  i really need 2 come n study in ur college i hope i wil have the chance

 3. hussein kabasha says:

  hi,nataka nitume application form hapo kam lakini nipo tabora je nita tuma vipi iweze kuwafikia naomba msaada wenu,pia mnitajie fee structure per year for the hostel student kwa course ya clinical medicine diploma

  • Kamcollege says:

   Fika kwenye interview tarehe 01.07.2013,uje na vyeti,Tsh 35,000/= na picha moja ya passpot. Maelezo mengine utapata kwenye interview! Karibu!

 4. machimo says:

  Mtoto wangu kapata (E) chemistry, (E) phisics na D ya biology…… Je mnaweza kumpokea kwa courz za clinical na laboratory???

 5. HAMADI. says:

  Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka 2013 . na nina C-1 na D-4 je naruhusiwa.

  • Kamcollege says:

   karibu ujiunge, unaweza kufika chuoni KAM COLLEGE Dar Es Salaam au unatuma maombi kupitia wizara ya afya.Ahsante

 6. HAMADI. says:

  NAM NATAKA KUJUA KWA MAELEZO ZAID. VP HIVYO VIO VIMESAJILIWA NA NACTE AU.
  (0715647188)

 7. Upendo Mwanga says:

  Ada zenu ni kiasi gani Kwa wanafunzi wa phamacy

 8. Davis says:

  Naomba unijulishe ada ya kam college in medical laboratory certificate

 9. neema muro says:

  I am at st Peter college of health science am finishing ma certificate of medical dispensing on September can I apply for certificate of pharmacy in your college after that

 10. Rose mary says:

  Mpo juu

 11. Ana says:

  Je naweza kujiunga na diploma wakati huo hua naendelea ku reseat kutafuta credit ya biology na chemisty. mimi nimehitimu HKL na kupata Division 2

  PLEASE
  MAJIBU

 12. Nahidat Rashid says:

  Naomba kujua tarehe ya mwisho ya kuleta maombi , Nataka kuja kuomba na Nataka kujua kama naweza kutuma kwa njia ya posta mana mie Niko zanzibar

 13. mi naomba kuulza je chuo chenu kinatambuliwa na nacte na kimesajiliwa.patrick toka tabora ulyankulu

 14. Limbu Juma says:

  I have the following scores
  O’level
  Math C
  Phy D
  Chem B
  Biol D

  A’level
  Chem D
  Biol S
  Geog D…….Do I qualify to join KAM as a CO student? Isn’t too late to apply?….NACTE seems not to consider A’level attainment,b’se I had applied through CAS. In the first place,but before they extended the deadline of application to 13 July,I was told NOT ELIGIBLE despite the guideline stating “at least having E in Chem or Biol in A’level.

 15. john patrick says:

  nauliza kwamba chuokina funguliwa na ccwengine badotunasubiri second selection?nakwa upande wa diploma naruhucwa kubadilisha kozi hiwaponitachaguliwa hapochuoni kwenu?

 16. motto says:

  You have already start offer diploma in medical laboratory for one year for those having certificate NTA LEVEL 4

 17. wende says:

  i apreciate kam college ,nita join nanyi mwakani 2015 ila hiyo ada inalipwa kwa installement ngapi?

 18. ELIABU BURTON SANGA says:

  TUNAANZA LINI

 19. DOUGLAS MKUNDA says:

  MNA TAWI LINGINE OUT OF DAR KAMA NDIO NI MIKOA GANI?

 20. wilbroad kahinga says:

  why joining form does not exit , becouse I have downloaded but didn’t be opened

  • Kamcollege says:

   Try to look it inside careful then you’ll find all instructions OR for more information visit at KAM COLLEGE kimara Dar Es Salaam.Thanks.

 21. amos says:

  naomba kujua selection zinatoka lini na masomo yanaanza lini??

  • Kamcollege says:

   Tumeshaanza kufanya usajili na masomo yaataanza mapema mwezi wa tisa(9) fika chuoni KAM COLLEGE kimara Dar Es Salaam.karibu sana

 22. william ambroce says:

  sawa ila samahan nauliza taratibu za vipind kila kozi,ni kila siku kipind au inategemea na kozi,na je co ratiba ipo vp,kwa wale wanaotegemea biashara zao kulipa ada

 23. samahan katika mpangilio wa vpind je nikila siku au inategemea na koz.na je kozi ya CO vpind vipo vip? kwa wale wanaojilipia wenyewe kutokana na biashara zao

 24. Davis says:

  Hi. nafasi za m/laboratory NTA4 bado zipo, na ninaruhusiwa kufanya application mwez huu?

 25. Davis says:

  Naruhusiwa kuapply m/laboratory NTA 4 kwa qualification za D biology na somo linginelo

 26. Rosemary Robert says:

  nimeapply clinical medicine hapo and nimepata txt frm nacte that nmechaguliwa…. But then the confirmation iko pending wen are you confirming t and nasubiria joining instructions… coz ata Cjui semester inaanza lini… please help me ili nijiandae mapema

 27. Esther says:

  Nataka download join form haifai

 28. Johnson John says:

  Chemistry D Biology C Physics C naweza jiunga na Diploma in clinical officer?

 29. swaum says:

  nna d tatu ikiwemo ya bios naweza kupata course gani hapo Kam colleg?????????

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>