Tumeanza usajili wa kozi za AFYA NA TIBA
(1)Sifa uwe na ufaulu wa alama D 3 masomo ya sayansi na alama D somo 1 lisilo la sayansi utapata diploma (3 years course) kwa kozi zifuatavyo:-
• Clinical Medicine (Utabibu)
• Medical Lab(Maabala)
• Nursing (Ukunga)
• Dentistry(Daktari wa meno)
(2)Alama D 2 masomo sayansi (Biology na Chemistry) na masomo 2 ya Arts utapata diploma ya Pharmacy(Madawa) – 3 years course

(3)Wenye alama D 1 ya somo LA Biology zikiwemo alama D 3 za masomo ya Arts utapata Community Health(Afya ya jamii)-1 year course

(4)KAM College pia inatoa upgrading courses ya programs hizo.

TARATIBU/KUJIUNGA*
1)Chukua fomu chuoni kwa shilingi elfu 30 au kwenye mtandao wa chuo bure.

2)Lipa nusu ada katika bank ya CRDB, KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCES, Account no. 0150435535400

3) Tuma cheti cha matokeo au result slip na bank slip kwa njia ya email kamcollegehealthtz@yahoo.com

4)Jiunge na chuo mwezi wa 7. Kwa maelezo fungua mtandao wetu www.kamcollegeofhealthsciences.co.tz au YouTube. Piga simu 0784/0713 615663
Ada ni Tsh milioni 2 hadi milioni 3 kwa mwaka kutegemea kozi. Hostel Tsh laki 5/mwaka.
Ada inalipwa kwa awamu 2.

Karibuni KAM COLLEGE Kimara, Dar es Salaam.
*MKUU WA CHUO*